Shamba – Kibaha

Dalali Tarehe

Shamba – Kibaha
Sh35,000,000

Shamba lenye ukubwa wa ekari 3 lina maboma mawili ambayo hayajapauliwa, umeme upo karibu sana na shamba.
Shamba lina michungwa, miembe ya kisasa, milimao, mifenesi n.k

Karibu sana!

Nyumba
Viwanja
Fremu
Mashamba