Kiwanja-Pugu

Sh3,500,000
KIWANJA KIZURI KINAUZWA MILLION 3,500,000/=💰.
KIWANJA KIPO PUGU KINYAMWEZI KARIBU NA STENDI KABISA UKISHUKA UNATEMBEA TU KWA MGUU DAKIKA 10 UPO SITE.
ENEO LAKE MITA 20 KWA 17.
GARI INAFIKA MPAKA SITE ✅
MTAA UMEJENGEKA VIZURI KAMA UNAVYOONA KATIKA PICHA.
HUDUMA ZA KIJAMII ZOTE ZINAPATIKANA KWA URAHISI KABISA ✅.
BEI YA KIWANJA MILLION TATU NA LAKI TANO (3,500,000/=). MAONGEZI YAPO NA YATAONGELKA SITE.
MTEJA SERIOUSLY NJOO UKAGUE TUFANYE BIASHARA.