Master – Gongo la mboto

Sh100,000
Chumba masta na sebule bei laki moja 100k Kodi miezi 6 kipo ndani ya fensi wapangaji wawili tu , umeme na maji unajitegemea mwenyew meter zako mazingira tulivu ipo Gongo la mboto kota za jeshi maghorofani