Boma – Pugu

Sh13,000,000
2025 KILA MTU APATE 🏡🙌🔥.
BOMA ZURI LINAUZWA MILLIONS 13,000,000/= TU.
BOMA LIPO PUGU KINYAMWEZI.
LINA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER, PUBLIC TOILET, JIKO, SEBULE.
ENEO LAKE MITA 15 KWA 15.
SHIMO LA CHOO LIMECHIMBWA NA KUFUNIKWA TAYARI✅.
GARI INAFIKA MPAKA MLANGONI✅.
KUTOKA KINYAMWEZI STENDI HADI SITE NAULI YA BODA TSH 1,000/=, UNAWEZA KUTEMBEA KWA MIGUU PIA KWA MAANA SIYO MBALI MWENDO WA DAKIKA 10-15 UNAKUWA UMEFIKA SITE.
HUDUMA ZA KIJAMII ZOTE ZINAPATIKANA KWA URAHISI KABISA, MAJI , UMEME, SHULE, ZAHANATI..N.K..
MTEJA SERIOUSLY NA UNAYEJUWA THAMANI YA ARDHI NJOO SITE TUFANYE BIASHARA.