Kiwanja – Kibaha

Dalali Tarehe

Kiwanja – Kibaha
Sh18,000,000

Kiwanja kinauzwa Kibaha kwa Mfipa
Ukubwa ni mita 25×45
Dakika 3 toka moro road kwa kutembea(ukisimama kwenye kiwanja unaona barabara)
Bei million 18(maongezi yapo)
Kupelekwa site ni 20k

Karibu sana!

Nyumba
Viwanja
Fremu
Mashamba