Apartment – Kimara

Sh210,000
MPYAA MPYAA MPYAA MPYA
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 210,000/= X 6
APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU MITA YA INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NI BURE ULIPII CHOCHOTE
#USAFI WA NJEE AUFANYI
#FREE WIFI
NB;NYUMBA IPO NDANI YA FENCE ISIYO LAZA GARI
BEI NI 210,000/= X 6
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE
.. KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU KWA MIGUU DK 15
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA