Nyumba – Chamazi

Sh49,000,000
NYUMBA INAUZWA MILIONI 49 SASA KUTOKA MILIONI 60
NYUMBA IPO MBAGALA CHAMAZI JILANI NA UWANJA WA AZAM COMPLEX WILAYA YA TEMEKE MKOA WA DARESSALAAM
NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM SITTING ROOM DAINING ROOM PUBLIC TOILET JIKO MAJI YAPO UMEME UPO
UKUBWA WA PLOT SQUARE METER 400
GARI INALAZA MOJA
KARIBUNI SANA WATEJA TUKUHUDUMIE KWA UHAMINIFU
WOTE MNAKARIBISHWA