Nyumba – Igoma

Sh12,000,000
Nyumba ipo mwanza igoma ya kakebe, vyumba vitatu jiko nk, ina umeme na ina maji ya kisima Nyumba inafaida yakuuza maji unaingiza na pesa kupitia kuuza maji, imeshuka mpaka ml 12.5 ukifika iyo bei pg sim chapu 0752980980,