Nyumba – kigamboni

Sh130,000
Chumba, choo na jiko vinapangishwa! 🏠
Bei: 130K kwa miezi 6
Ipo Kigamboni, Kisiwani
Nyumba mpya, mazingira mazuri sana
Ndani ya geti, full parking
Umeme mita yako, maji bure 💧
Piga simu haraka
Dalali Maokoto, Kigamboni 📞