Nyumba – Mdawi, Moshi

Dalali Tarehe

Nyumba – Mdawi, Moshi
Sh200,000

NYUMBA YA FAMILIA INAPANGISHWA
MAHALI: Mdawi, Moshi
KODI: 200,000/- kwa Mwezi
MUHULA: Miezi Sita na kuendelea

NYUMBA INA SIFA ZIFUATAZO:
☑️Baraza Mbili ( Mbele na Nyuma)
☑️Vyumba viwili vya kulala (kimoja kina Choo/Bafu ndani yake)
☑️Choo/Bafu kwa Wote
☑️Sebule
☑️Jiko lenye makabati
☑️Stoo
☑️Tanki la kuhifadhi maji safi
☑️Fully Tiles
☑️Fully paving
☑️Madirisha makubwa ya Grill/Kioo/Slide
☑️Umeme wa kujitegemea (self meter)
☑️Maji ni kwa wote, yapo masaa 24
☑️Mazingira Safi na Tulivu
☑️Ndani ya uzio wa Ukuta na Geti
☑️Car Parking ya kutosha

NB: ZINGATIA HAYA
⛔Tunahudumia Mteja anaye hitaji Nyumba siku hiyohiyo. Na Siyo wale wateja wanao sema nasubiri kodi yangu iishe tarehe fulani.

⛔Dalali/Madalali wanalipwa na Mteja/Mpangaji kiasi cha Fedha sawa na kodi ya Mwezi mmoja.

⛔Endapo Mteja/Mpangaji hata chukua Chumba/Vyumba/Nyumba baada ya kupelekwa kuona Nyumba, atamlipa Dalali/Madalali Ada ya Huduma Service charge 10,000/-
⏲️MUDA: 3:00 asubuhi hadi 11:00 jioni
🚫Usipige simu nje ya muda huo

Karibu sana!

Nyumba
Viwanja
Fremu
Mashamba