Nyumba – Vikindu

Sh19,500,000
Njoo na ml. 19.5 uhamie nyumba imekamilika Kila kitu vyumba vi2 kimoja master sebule public toilet na jiko nafasi imebaki unaweza kujenga frem mbili ipo vikindu shelaton ipo kwenye barabara ya mtaa Ina umeme na maji